Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Viongozi wa Halmashauri ya Walei na baadhi ya Waamini wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa…
Padri Octvian Linuma wa Jimbo Katoliki la Mahenge (mwenye suti), akiwasili katika viwanja vya Shule ya St. Rosalia, Kinyerezi, jijini Dar es Salaam tayari kwa adhimisho la Misa Takatifu ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (kulia) akikata utepe kuzindua ukumbi wa kisasa wa Parokia ya Mtakatifu Martha, Mikocheni, baada ya Adhimisho…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akitoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana 71 waliopokea Sakramenti hiyo katika Parokia ya…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (aliyeketi), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Mtakatifu…
Vijana Waimarishwa wa Parokia ya Mtakatifu Monika, Matosa, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika maandamano kuelekea kanisani kwa Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara,…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume, Bahari Beach, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kutoa Sakramenti ya Kipaimara iliyofanyika hivi karibuni…
Vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiweka ubani katika vyombo ili kufukiza, wakati wa Kutabaruku Kanisa na Altare katika Adhimisho la Misa…