Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Mafrateri wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Uzinduzi wa Utunzaji wa Mazingira katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, jimboni humo.
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Thomas wa Akwino – Kipunguni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Nestory Damas akibariki Matawi yaliyoshikwa na Waamini wakati wa Adhimisho la…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (mwenye fimbo ya Kichungaji), Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (kulia kwa Askofu Mkuu), wakiwa katika picha ya…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Polycarp Askofu na Shahidi – Kilamba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiimba wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Matawi iliyoadhimishwa…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Thomas wa Akwino – Kipunguni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Matawi iliyoadhimishwa…
Baadhi ya Waoblate wa Shirika la Wabenediktini wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokelewa Waoblate wapya, na wengine kuweka Nadhiri zao za Daima, iliyoadhimishwa katika Parokia ya…
Baadhi ya Waoblate wa Shirika la Wabenediktini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokelewa Waoblate wapya, na wengine kuweka Nadhiri zao za Daima, iliyoadhimishwa…
Walezi wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika viwanja vya Hospitali ya Kardinali Rugambwa iliyopo Ukonga, jijini Dar es Salaam, walipokwenda…
Mlezi wa Shirika la Wazee na Wastaafu Katoliki wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Benedict Shayo, akibariki majitoleo ya Wazee na Wastaafu hao wakati wa Sala iliyofanyika katika…