Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akifungua Mlango Mkuu wa Kanisa kuashiria uzinduzi wa Kanisa jipya la Seminari ya Mtakatifu Maria- Visiga,…
Viongozi wa Watawa wanaofanya Utume katika Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Watawa iliyoadhimishwa Parokia…
Viongozi wa Halmashauri ya Walei na Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa parokiani hapo katika Adhimisho la Misa Takatifu…
Mapadri kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiingia kanisani kuadhimisha Misa Takatifu ya Sikukuu ya Watawa iliyoadhimishwa Parokia ya Kristo Mfalme – Tabata, jimboni humo.
Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu, Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vitalis Kassembo, akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi na Wadau wa Tumaini Media, baada…
Masista Wanajubilei ya Miaka 25 ya Utawa, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupongezwa na Watawa wenzao wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Watawa iliyoadhimishwa Parokia…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Daniel Kilala, akiwabariki Viongozi wapya wa Zaka, baada ya kuwaapisha wakati wa Adhimisho…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus – Kunduchi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Faustin Maganga, akiwa katika picha ya pamoja na vijana, baada ya Adhimisho la Misa…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakitoa michango yao parokiani hapo kwa ajili ya kuitegemeza Tumaini Media, wakati wa Adhimisho…