Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani kwa Miaka 30 ya Redio Tumaini, iliyoadhimishwa katika Parokia ya…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi – Pugu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika.
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika. (Picha zote na Yohana Kasosi)
Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Gaspari, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, ambaye pia Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli – Bunju, jimboni humo, Padri Dominic…
Waamini wa Parokia ya Familia Takatifu – Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika iliyoadhimishwa parokiani hapo.
Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu – Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vitalis Kassembo akiwabariki Waamini waliotoa Zaka wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika…
Viongozi wa Halmashauri ya Walei ya Parokia ya Mtakatifu Maximilian Maria Kolbe – Mwenge, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Adhimisho la…
Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Katoliki la Mtwara, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu iliyoadhimishwa hivi karibuni katika viwanja vya Kanisa Kuu jimboni humo. (Picha zote na Yohana Kasosi)
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (kushoto), akibariki visakramenti wakati wa ziara yake ya Kichungaji aliyoifanya hivi karibni katika Kituo cha Hija,…