Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

DAR ES SALAAM Na John Kimweri Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustine Shao, amesema kuwa mafuta Matakatifu ya Krisma yanamsaidia mtu kuwa shuhuda…
KIBAHA Na Mathayo Kijazi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amewataka Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA), na waamini…
MOROGORO Na Angela Kibwana Mhashamu Askofu Lazarus Msimbe -SDS, wa Jimbo Katoliki la Morogoro, ametoa wito kwa Mapadri kutohubiri Injili ya mafanikio, kwa sababu kuna…
DAR ES SALAAM Na John KimweriAskofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, amewataka waamini kutoa kipaumbele na kuwakumbuka…
GULU, UgandaMaandalizi ya kutangazwa Padri Joseph Ambrozoli kuwa Mwenyeheri yanaendelea vizuri, tukio litakalofanyika wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu itakayofanyika Jimbo Kuu Katoliki la Gulu,…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara mmoja wa vijana waliopokea Sakramenti…
DAR ES SALAAM Na John Kimweri Imeelezwa kuwa kiburi cha elimu ni sababu mojawapo inayowafanya watu kuacha kumwamini Mungu, na kutegemea utashi wao na mali…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (mwenye Fimbo ya Kiaskofu), akiwa na Maaskofu Wasaidizi wake, Mhashamu Henry…
Page 13 of 13