Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

LIRA, Uganda Uamuzi wa kujenga Parokia nyingi katika Jimbo la Lira nchini Uganda, umetajwa kuleta msisimko na shangwe miongoni mwa Wakristo ndani na nje ya…
LIRA, UgandaAskofu wa Jimbo Katoliki la Lira Kaskazini mwa Uganda, Mhashamu Sanctus Lino Wanok, ameonya dhidi ya unywaji pombe kupita kiasi unaofanywa na Makatekista na…
LUSAKA, ZambiaRais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Zambia, Zambia Conference of Catholic Bishops (ZCCB), Askofu Mkuu Mhashamu Ignatius Chama amewataka vijana waliohitimu Chuo Kikuu…
ZOMBA, Malawi Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Alfred Mateyu Chaima kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Zomba, nchini Malawi.Baraza la Maaskofu Katoliki wa Malawi…
LUSAKA, ZambiaBaba Mtakatifu Fransisko ametangaza uteuzi wa Balozi mpya wa Kitume kwa nchi mbili katika Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama katika eneo la Mashariki…
NAIROBI, KenyaWajumbe wa Jumuiya ya Kikatoliki ya Kuhudumia Watoto (CCC) imewaleta pamoja washiriki kutoka sehemu mbalimbali za Dunia, wakiwemo Maaskofu, Dini, Wakleri, Walei na washirika…
VATICAN CITY, VaticanGazeti la ‘II Messaggero’, limetimiza miaka 145 tangu kuanzishwa kwake, wakati huu linapoendelea na maandalizi yake ya Jubilei yake itakayofanyika mwaka 2025.Baba Mtakatifu…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amesema kwamba Wakatoliki wanapaswa kuitangaza na kuishuhudia Injili kwa Matendo ya Huruma, kiroho na kimwili.Baba Mtakatifu alitoa rai hiyo…
DAR ES SALAAM Na Philip Komba Pamoja na mji wa Yerusalemu kujulikana zaidi sana kutokana na umaarufu wake katika mambo ya dini, mji huo haujabaki…
Baba Mtakatifu Fransisko (kushoto) akisalimiana na Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI wakati Papa alipomtembelea Mstaafu huyo katika makazi yake, akiambatana na Makardinali wapya. Vatican City…
Page 3 of 4