Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

ADDIS ABABA, Ethiopia Askofu Mwandamizi wa Jimbo Katoliki la Eparchy Emdibir Eparchy, Mhashamu Askofu Teshome Fikre, amesimikwa.Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Ethiopia, Mwadhama…
LILONGWE, Malawi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Lilongwe nchini Malawi, Mhashamu George Desmond Tambala, amewataka Watawa kujiandaa na kazi ya Kimisionari ya Kimataifa.…
LUSAKA, ZambiaBaraza la Maaskofu Katoliki nchini Zambia (Zambia Conference of Catholic Bishops: ZCCB), limetoa shukrani za dhati kwa wanaume na wanawake wa Dini nchini Zambia…
VATICAN CITY, Vatican Imeelezwa kuwa watu wengi wamekuwa wakinyimwa haki ya matibabu, na haki ya kuishi.Hayo yalisemwa na Baba Mtakatifu Fransisko wakati akizungumza baada ya…
KASESE, Uganda Askofu Francis Aquirinus Kibira Kambale wa Jimbo Katoliki la Kasese nchini Uganda, amewatahadharisha Wakristo dhidi ya ubaguzi kwa misingi ya Dini na kabila.Aidha,…
NDOLA, Zambia Jimbo Katoliki la Ndola nchini Zambia, limeweka historia kubwa kutokana na Jengo jipya la Kanisa katika Parokia ya Mtakatifu Antonio Fasani wilayani Ndola,…
ZOMBA, MalawiJimbo Katoliki la Zomba nchini Malawi limetoa msaada wa unga wa mahindi uliosindikwa kwa watu walioathirika na njaa katika jimbo hilo.Akizungumza wakati wa kuchangia…
ZOMBA, MalawiWatoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu, Jimbo Katoliki la Zomba nchini Malawi, wamewaomba Viongozi wa Kanisa hilo kuwapa nafasi ya kutekeleza majukumu…
NAIROBI, Kenya Baraza la Maaskofu wa Afrika na Madagaska (Symposium of Episcopal Conferences of Africa and Madagascar: SECAM) barani Afrika, wametangaza msimamo wao na kudumisha…
VATICAN CITY, VaticanKatika mahojiano kwenye kipindi cha luninga cha Italia,Papa Fransisko alisikitikia hatari ya kuongezeka kwa vita katika kona mbalimbali za dunia.Aidha, alielezea jinsi ambavyo…
Page 2 of 4