Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, amewataka wazazi nchini kuendelea kutimiza wajibu…
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Yuda Thadei Mtume, Stakishari, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wametakiwa kuishi maisha…
ZOMBA, Malawi Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Alfred Mateyu Chaima kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Zomba, nchini Malawi.Baraza la Maaskofu Katoliki wa Malawi…
LUSAKA, ZambiaBaba Mtakatifu Fransisko ametangaza uteuzi wa Balozi mpya wa Kitume kwa nchi mbili katika Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama katika eneo la Mashariki…
NAIROBI, KenyaWajumbe wa Jumuiya ya Kikatoliki ya Kuhudumia Watoto (CCC) imewaleta pamoja washiriki kutoka sehemu mbalimbali za Dunia, wakiwemo Maaskofu, Dini, Wakleri, Walei na washirika…
VATICAN CITY, VaticanGazeti la ‘II Messaggero’, limetimiza miaka 145 tangu kuanzishwa kwake, wakati huu linapoendelea na maandalizi yake ya Jubilei yake itakayofanyika mwaka 2025.Baba Mtakatifu…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amesema kwamba Wakatoliki wanapaswa kuitangaza na kuishuhudia Injili kwa Matendo ya Huruma, kiroho na kimwili.Baba Mtakatifu alitoa rai hiyo…
Na Pd. Gaston George Mkude Amani na Salama!njili ya leo inatanguliwa na Yesu anapowatuma Mitume wake kumi na wawili, na kuwapa tahadhari juu ya hatari…
Dar es Salaam Na Edvesta Tarimo Juni 14 kila mwaka, nchi mbalimbali Duniani huadhimisha Siku ya Wachangia Damu Duniani (World Blood Donor Day: WBDD). Kwa…
Na Askofu Method Kilaini Katika safu hii ya Chimba Chimba Historia ya Kanisa wiki iliyopita, tuliwaletea historia ya Mafanikio ya Mtaguso wa Vatikano katika Kuimarisha…