Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Baadhi ya Wawakilishi wa Mpango wa Nia Njema wameomba kuwahishwa kupewa kadi zao za bima na kuongezewa hospitali za…
VISIGA, PWANI Na Mwandishi wetu Wabatizwa nchini wametakiwa kuitambua hadhi yao, kwani wao ni hekalu la Mungu, hivyo hawatakiwi kuligeuza hekalu hilo kuwa jalala la…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Thomas More - Mbezi Beach, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Ladislaus…
VIKINDU, PWANI Na Mathayo Kijazi Wagonjwa wametakiwa kumlilia Mungu ili awaponye matatizo yao, badala ya kutafuta msaada kwa waganga wa kienyeji, kwani Mungu ndiye anayesikia…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Mlezi na Mwalimu katika Seminari ya Mtakatifu Antoni wa Padua – Ntungamo, Jimbo Katoliki la Bukoba, Padri Roland Kashaga,…
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Wilbroad Henry Kibozi kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Mteule Kibozi…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwabariki Watawa wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya…
DAR ES SALAAM NA MATHAYO KIJAZI Watawa nchini Tanzania wametakiwa kutokengeuka, wakidhani mahali walipo wamepotea njia, bali watambue kuwa wanapaswa kuyaishi yale waliyoyapokea kwa furaha,…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Wakristo wametakiwa kufuata nyayo za Mtakatifu Theresa wa Kalkuta za kuwasaidia watu wenye uhitaji, hasa wanaoteseka kiroho, ili wawapatie…
NA MATHAYO KIJAZI Wakati Redio Tumaini ikiadhimisha Jubilei ya Miaka 30 tangu kuanzishwa kwake maadhimisho ambayo yameonekana kufana, imeelezwa kuwa mtu anayetunza afya ya akili,…
Page 3 of 7