Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
NJOMBE Na Mathayo Kijazi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, amesema kuwa Serikali ina Imani kwamba kupitia Askofu…
MWANZA Na Paul Mabuga Wakati huko wanafunzi wakiandika matusi kwenye mitihani yao, kule watoto wameiba simu janja yenye thamani ya zaidi ya Shilingi 300,000/-, baada…
VATICAN CITY, VaticanKatika mahojiano kwenye kipindi cha luninga cha Italia,Papa Fransisko alisikitikia hatari ya kuongezeka kwa vita katika kona mbalimbali za dunia.Aidha, alielezea jinsi ambavyo…
Na Dk. Deoscorous B. Ndoloi Mpendwa msomaji, katika safu hii, wiki iliyopita tuliona vijitabia zoelefu (offending mannerisms) ambavyo vinaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa namna tunavyozungumza…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Chama Cha Pool Tanzania (Tanzania Pool Association: TAPA) kimepata mwaliko kwa wachezaji binafsi kushiriki mashindano ya JOY Grand Masters…
DAR ES SALAAM Na Nicholaus Kilowoko Wamiliki wa timu ya soka ya wanawake inayoshiriki Ligi ya Wanawake Tanzania Bara, Amani Queens yenye maskani yake mkoani…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Mwaka 2024 umeingia, huku wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiwa wanakimbizana na wingi wa wasikilizaji na watazamaji kupitia…
VIENNA, AustriaMkuu wa timu ya Mercedes, Toto Wolff, ambaye pia anamiliki theluthi moja ya mabingwa wa zamani wa mbio za magari atasalia katika jukumu lake…
LEDDS, UingerezaHelen Housby MBE amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 14 cha Vitality Roses kitakachoshiriki Kombe la Mataifa ya Vitality kati ya Januari 20 na 21…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Fainali za Mataifa ya Afrika, maarufu kama (Africa Cup of Nations: AFCON) za mwaka 2023 zinaendelea nchini Ivory Coast…